MAKONDA AWATUMBUA WATUMISHI WA JIJI LA ARUSHA WAJIKOROGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2025
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    RUclips : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

Комментарии • 68

  • @georgeikinya2779
    @georgeikinya2779 10 месяцев назад +8

    Am not Tanzanian but the problem this man is confronting is everywhere in Africa. Corrupt officers are not different from terrorists like Alshabab or Boko haram. It retrogresses and stagnates states and perpetually condemning citizenry to abject poverty and humiliation. May God help this gentleman to clean up the human dirt.

  • @namsifumihungo8504
    @namsifumihungo8504 10 месяцев назад

    Mikutano na wananchi naamini ndio mikutano sahihi kwa DC na RC,ili kuwaambia watendaji shida iko wapi wasaidie wananchi kwa yale yanayobainika.Hongera sana Makonda kuitendea haki nafasi yako.RC na DC hili unalolifanya ndio sahihi kama kweli nafasi hizi mbili zipo kwa ajili ya wananchi,Ikiwa Ma RC na Ma DC watafanya hivi,hizi kero hazitakuwepo na huu umati hauwezi kuonekana maana hakuna mtendaji atapenda kuwekwa hadharan kwa kuika taratibu,Mungu Akutunze kwa ajili ya wengine Makonda❤

  • @OscerShop
    @OscerShop 10 месяцев назад

    Mh. Makonda oyeee wewe ni mtetezi wa wanyonge endelea hivo na tunaendelea kukuombea ili mungu akuepushe na waovu wasiopenda haki saidia wanyonge na mungu siku moja atakulipa ujira.

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 10 месяцев назад +5

    Watumishi mmepatikana mwaka huu 😂😂😂

  • @DavidMgeni-d9n
    @DavidMgeni-d9n 10 месяцев назад

    Hapa kazi tu mkonda

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op 10 месяцев назад +11

    Bado masaki kilimani kunamzungu anauza baga Anachimba choo barabarani na manispa ya kinondoni wana uangalia tuu mh waziri wa ardhi uje uone

    • @AkundaeliMbise
      @AkundaeliMbise 10 месяцев назад

      😅😅😊😅😊😅😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅😊😊

  • @MaryShayo-tg4vq
    @MaryShayo-tg4vq 10 месяцев назад

    Hujama mama angempa hata uwaka wamwezi moja tuu aweraisi anipigie spana zakutusha asee minakupa mauwa yako❤

  • @AbeidKibuga78
    @AbeidKibuga78 7 месяцев назад

    Hayo matatizo sio Arusha tu bali nimikoa mingi in shida kwa makonda pekee Bado mama amrudishe All happy na ingempendeza na sabaya tunajua zile ni mbinu za walafii zilimuangusha sabaya hawa watu ni viongozi na watafutaji was shida za watu

  • @MwanaidyHamis-rg1pu
    @MwanaidyHamis-rg1pu 9 месяцев назад

    yaani kama wakuu wote wamikoa wangekuwa kama wewe makonda nnchi ingekuwa mbali sana

  • @aureliantemba9830
    @aureliantemba9830 9 месяцев назад

    Ukweli ni kwamba tangu Mwenyezi Mungu amchukue aliyekuwa kipenzi cha watanzania kwa watumishi wa serikali mafisadi PAKA KAONDOKA PANYA AMETAWALA.WAPIGWE SPANA TU!

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 10 месяцев назад

    very good mkuu wa mkoa

  • @AmosAmos-i3b
    @AmosAmos-i3b 10 месяцев назад +1

    Watanzania tumelala sana hawafanyi kazi kabisa piga spana wote

  • @edrisalusonge4141
    @edrisalusonge4141 10 месяцев назад +1

    Makondaaaaaa nakukubali snaa

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 10 месяцев назад

    Team makonda tujuane basìi

  • @JumaLulanje-i2o
    @JumaLulanje-i2o 10 месяцев назад +3

    Mwenyezimungu alimde huyu kiongozi

  • @JohnMakao-is9fm
    @JohnMakao-is9fm 10 месяцев назад +7

    Mbona ham comment chochote kuhusu mkuu wa mkoa Mimi naona anafata nyayo za mzee magu hataki mbambaaaa

    • @shabaniihassanii955
      @shabaniihassanii955 10 месяцев назад +1

      Huwezi ku comment bila kusikiliza mpaka mwisho

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 10 месяцев назад

      @@shabaniihassanii955 ndo hao wa kukurupuka hajaelewa chochote anakimbilia ku comment😆😆

  • @DavidMgeni-d9n
    @DavidMgeni-d9n 10 месяцев назад +1

    Wanyoshe wara rushwa awoooo mweshimiwa wanakura tu era zetu

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 10 месяцев назад +1

    Kweli makonda atawanyoosha

  • @SinguMahona-gh8ct
    @SinguMahona-gh8ct 10 месяцев назад

    Huyo ni mwizi pia

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 10 месяцев назад +1

    Duuuh hao majambazi wanaitaji spaner

  • @DRBISHOPJERICO
    @DRBISHOPJERICO 10 месяцев назад

    Piga kazi kaka

  • @Manhajisalafy42
    @Manhajisalafy42 10 месяцев назад +4

    🛠️

  • @CharlesSunjila
    @CharlesSunjila 10 месяцев назад

    Mama kweli makonda imetuchagulia aongezewe ulinzi ananikumbusha wazalendo WA taifa nashukuru mueshimiwa raisi kwa makonda namuona mtangulizi wako makufuri jembe hakufanya kosa kuku teua wewe na makonda tungependa wakuu WA mikoa wote wangekuwa kama makonda

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 10 месяцев назад +1

    Huu ndio mwenendo wa watendaji wa serikali katika mikoa yote nchini. Hali hii imejengeka kutokana na mgawanyo wa madaraka kuyumba,kuteua watu kwa vimemo bila vigezo,mradi ni wa kijani tu. Dawa ya kudumu ni kubadili mfumo tu badala ya zoezi la kuteua watu kwa maelekezo ya muda ambayo hayadumu tena ni gharama kubwa zaidi ya kuweka mambo katika sheria na utaratibu. Hawa wazembe bado watalipwa stahiki zao, na kuajiri wapya kwa mfumo uleule. Tuje pamoja,mkuu wa nchi aone umuhimu wa kugatua madaraka, kupunguza ukubwa wa serikali,na kuondoa giza upatikanaji wa katiba mpya baada ya miaka 63.

  • @ShinjeKusekwa
    @ShinjeKusekwa 10 месяцев назад

    Vzr

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 10 месяцев назад +1

    Makonda anaweza tumuombee zaidi

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 10 месяцев назад +2

    Watu wazima wanapigwa spana😂😂😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 месяцев назад

    Hii ni aina corruption kubwa kuliko rushwa yenyewe. Ndiyo sababu wanaharibu elimu ili wanainchi waendelee kudanganywa kila siku kuanzia enzi watu wamefanywa mbumbu kiasi kwamba hawajielewi. Wakipata mjanja mmoja tu kwa kuwadanganya basi wanaona wamifika na wanadhani kuwa wanasaidiwa, kumbe hakuna msaada wo wote bali anawachang'anya watu tu.

  • @IsaackmugoMugo
    @IsaackmugoMugo 9 месяцев назад

    Hon.Makonda congrats for good job pigs sparna kbxa

  • @JumaLulanje-i2o
    @JumaLulanje-i2o 10 месяцев назад +2

    Spanaaaa

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 10 месяцев назад +5

    Nchi yetu wananchi Wana shida na matatizo mengi lakini Ina viongozi kibao tena wasomi lakini elimu Yao haiwasaidii wananchi

  • @mwansasu
    @mwansasu 10 месяцев назад

    Daaah mnyakyusa mwenzangu kakamatwa

  • @ildephoncekalemera7758
    @ildephoncekalemera7758 10 месяцев назад

    Respect

  • @OscerShop
    @OscerShop 10 месяцев назад

    Huyu Mh. Makonda ndio anatakiwa kuwa Rais baada ya mama yetu mpendwa. Maana kusema ukweli mwenye macho haambiwi tazama.

  • @Benose12Selapio
    @Benose12Selapio 9 месяцев назад

    Piga spana wote mungu akubariki makonda Mimi chadema

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 10 месяцев назад

    Hayo maozo yapo nchi nzima

  • @KelvinAlfred-rc1hq
    @KelvinAlfred-rc1hq 10 месяцев назад +3

    Huyu mtu Mungu amuepushe na mabalaa

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 10 месяцев назад +2

    Wakapiga kelele wakasema "asulubiweeeeee.....". Hizi spana izi

    • @safielkabonda295
      @safielkabonda295 10 месяцев назад +1

      Ezi zile ilikua tumbua majipu, safari hii hii spana

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 10 месяцев назад +1

    Mh Rais 😅😅😅😅😅😅😅kula chuma hiyo

  • @TadeoEmanuele
    @TadeoEmanuele 9 месяцев назад

    Hapan kaz TU jembe la magufuli

  • @paulonshulo6435
    @paulonshulo6435 10 месяцев назад +1

    Tunataka viongozi wa aina yako ili nchi isonge mbele

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 10 месяцев назад

    Yaani makonda ungeteuriwa kwetu mbarari Kuna madudu hukuuu

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz 10 месяцев назад

    Natamani uje morogoro makonda

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 10 месяцев назад +1

    Piga ngwara wote hao pumbafuuuuuuuu.

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 10 месяцев назад

    Mheshimiwa rais tunaomba utupe wakuu wa mikoa yote wa aina hii ,hii nchi ni tajiri sana,baadhi ya viongozi sio wazalendo kabisa tukipata wa aina hii mikoa yote kazi imeisha

  • @oseasimpasa-bj5ds
    @oseasimpasa-bj5ds 10 месяцев назад

    Akika nakuombea Kazi yakoni bora

  • @SadaMussa-hi4yk
    @SadaMussa-hi4yk 10 месяцев назад

    Uogouna wasaidiya nini

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 10 месяцев назад

    Makonda tunakuomba uifatirie mbarari SSM viongozi wameifanya kua Kinga yamabaya hata wewe razimishi kuwaripa warimu kauriyao waarimu wakujitorea

  • @sudymohamedy9717
    @sudymohamedy9717 10 месяцев назад

    Jembe hilo

  • @paulonshulo6435
    @paulonshulo6435 10 месяцев назад

    Nakuamini kabisa kabisa mweshiwa Paul makonda unaweza

  • @MjunguMtimba
    @MjunguMtimba 9 месяцев назад

    Madonna.leo

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 10 месяцев назад

    Hawakuombei chochote,wanafki hao na hata wakikupa ndizi usiile miyoni mwao wanamakubwa kuhusu ww ya kukuhusudu!washindwe na waregee kwa jina la Allah,fanyakzi kijana maombi yetu yako juu yako,hao ndio wanao fanya mama aonekane nitatizo kwa huruma yake akuwapa kazi ,piga SIPANA MZEEEEEEEEEEEEEEE.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 месяцев назад

    Makonda mambo mengi yanavurugwa na watendaji, wenye viti wa CCM haya yote yako chini ya chama cha CCM na serikali. Kwani CCM inashindwa vipi kuhakikisha kuwa wenye viti CCM kuweka mambo sawa kumbe ndiyo wala rushwa. Watendaji wa serikali wanashindwaje kufanya kazi vizuri kama chama cha CCM wanakazi gani basi? Hii show off na kujaribu kuwahadaa wanainchi kuwa kuna kazi inafanyika kumbe kama CCM walivyoziea kuwadanganya wanainchi mnaendelea kuwadanganya.

    • @AbeidKibuga78
      @AbeidKibuga78 7 месяцев назад

      Utendaji wa kiongozi hauagalii Chama kiongozi niyule mwenye kujua Nini shida basi tulikua na viongozi wa kuchaguliwa ila hata ikatokea Kuna kazi ya kujitolea kwenye eneo lake hawakuonekana hawa nao ilikua wanafugwa na nn ?

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 10 месяцев назад

    Huyu ni mwamba

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 10 месяцев назад

    Hua nawashangaa sana wananchi mnaposhangilia mtumishi kuhamishwa,yaan mnachofurahia hapo ni nini?,mtumishi anapohamishwa analipwa mamilioni ya fedha za uhamisho nyie mnafurahia akati mtu bado yuko kazn

    • @bakarikasimu-gn8xj
      @bakarikasimu-gn8xj 10 месяцев назад +3

      Sasa ndugu yangu tukihama tuhame kwa heshima lakini siyo kwa staili hii hata kama utalipwa unakuwa umepigwa chapa na doa kibwaa

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 10 месяцев назад

      Wewe Wacha ujinga pesa ya umma huna uchungu nayo,ama pia wewe ni mmoja wa mafisadi

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 10 месяцев назад

      Ama hutoi ushuru

  • @SinguMahona-gh8ct
    @SinguMahona-gh8ct 10 месяцев назад

    Huyo ni mwizi pia